Anonymous

Nilikua natibiwa na kufanya mazoez hosp moja mjini. Haina ubaya… ila kuna siku nilipita ccbrt nikajaribu kuuliza kama wanapokea wagonjwa just for mazoez. Wakanielelekeza physiotherapy ilipo. Aiseee nilipokelewa vzur hasa pia kwasababu nilikua natumia magongo. Nikapewa kiti nikae huku nikihudumiwa. Then in matter of 3minutes akaja dk mmoja anaitwa Kisima mweupe ivi, akanichukua na kuniuliza vitu vingiiii I guess he wanted to be sure +akaangalia reports n xrays zangu then akanipeleka chumba cha mazoez. Mpaka sasa nafanya mazoez na nna improve sana ila pia nakua na aman kuhudumiwa kwa upendo.