Anonymous

Nilienda ccbrt kufanya ultra sound ya tumbo lakini nilikua na maumivu ya misuli ya mkono wa kulia. Baada ya ultra sound nikashauriwa nimwone daktar wa mazoez. Kwavile nina bima nikaomba niitumie. Nikapelekwa kwa docta Kisima. Alinipokea vizuri akanifanyia mazoez na kunishaur ya kuendelea kufanya  nyumban. Huduma zao ni nzur sana. Wana kauli nzuri sana dokta hapotezi muda ana upendo na anajali mgonjwa anachosema.